Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Habari zenyu wana wa nchi ya Tanzania?
Nipende kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi wa air Tanzania ofisi ya posta karibu na supermarket ya imalaseko kwa huduma yao nzuri iliyotukuka. Hii ndio aina ya huduma tunayoitaka tunapotaka huduma kwenye mashirika ya umma.
Hawa watu wanahudumia kwa upendo na kwa moyo sana.
Wamenifurahisha na Nimewapenda sana. Mashirika mengine waited mfano huu.
Uzi tayari.