Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Chama hujengwa, chama hakidandiwi kama ilivyodandiwa chadema.Failed project,,,, !! Walidanganywa wakaingia kingi ! Nani awafate walevi kina mrema, tapeli kigaila? Mlugaluga Mwalimu ? Malayer Cathe?
Kina ntobi wamestuka wameenda aisitii, bado yerico
Kiukweli Wana muda wa kufanya hivo na kufikia pazuri.Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,
Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,
Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah. View attachment 3354818
Kwani CHAUMMA ni chama kipya hadi kianze kujengwa leo?Chama hujengwa, chama hakidandiwi kama ilivyodandiwa chadema.
Chama kina miaka 13 bado hakijajengwa? Hao wameenda kwa ajili ya maslahi binafsi. Uchaguzi ukiisha wanamuachia Rungwe chama chake wanaondoka. Hata hivyo utaona baadhi yao wanaanza kuondoka. ACT ijiandae kuwapokeaChama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,
Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,
Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah. View attachment 3354818
Ukisikia nyumbu hovyo ndo hivi, hao unaowakashfu walishakuwa viongozi wenu miaka mingi. Huyo Salum Mwalimu mlimweka awe Makamu wa Rais wa JMT kupitia chadema! Leo eti mlugaluga.Failed project,,,, !! Walidanganywa wakaingia kingi ! Nani awafate walevi kina mrema, tapeli kigaila? Mlugaluga Mwalimu ? Malayer Cathe?
Kina ntobi wamestuka wameenda aisitii, bado yerico
Chadema mna mioyo ya ajabu sana yaani mna amini chama ni chadema tu, na hakuna kingine, misingi ya Ujenzi wa chama ni ileile ya Ujenzi wa biashara huitaji kitu kinaitwa "" GODWILL ""This is briefcase political party,Is dead on arrival and will be buried in politically forgotten grave sooner than later.
The Spirit of rebellion will haunt them always,
Once u start associating yourself with Satan(CCM) killers and Abductors even your loyal friends will Avoid you,
RESIST CHAUMA!!!
Mkuu wasi wasi wangu wataondoka na ubwabwa wote!!!Ukisikia nyumbu hovyo ndo hivi, hao unaowakashfu walishakuwa viongozi wenu miaka mingi. Huyo Salum Mwalimu mlimweka awe Makamu wa Rais wa JMT kupitia chadema! Leo eti mlugaluga.
Kama mkutano wa mjumbe wa mtaa.Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,
Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,
Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah. View attachment 3354818
Mziki unakuja kusimama huu na kuwa tishio, kwa wanaojua maswala ya Ujenzi, wapo watu pia wanaujuzi wa kubomoa!Failed project,,,, !! Walidanganywa wakaingia kingi ! Nani awafate walevi kina mrema, tapeli kigaila? Mlugaluga Mwalimu ? Malayer Cathe?
Kina ntobi wamestuka wameenda aisitii, bado yerico