PreGE2025 Hongereni CHAUMMA kwa mwanzo ulio bora kabisa, chama hujengwa, na hatimaye husimama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sawa kabisa naona hadi ng'ombe wa mama walikuwepo.
IMG_20250603_191722.jpg
 
Ukisikia nyumbu hovyo ndo hivi, hao unaowakashfu walishakuwa viongozi wenu miaka mingi. Huyo Salum Mwalimu mlimweka awe Makamu wa Rais wa JMT kupitia chadema! Leo eti mlugaluga.
Mpuuzi huyo, pamoja na wewe pia
 
Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,

Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,

Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah. View attachment 3354818
Mkuu unawajaza hawa watz wa leo sio wa kuwabeba mzobemzobe tena.
Hawa ili wajaze uwanja ita wagharimu sana
 
Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,

Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,

Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah. View attachment 3354818
Watu mna unafiki hadi shetani anawakataa.
Mnazidi tu kuwapoteza wenzenu.
Badala ya kuwambia lile fungu walilopewa waliweke akiba pale project yao itakapo wind up wawe na mtaji mnawadanganya na kuwapa moyo wapukutishe chote ili mje muwacheke. Siyo poa
 
Ukisikia nyumbu hovyo ndo hivi, hao unaowakashfu walishakuwa viongozi wenu miaka mingi. Huyo Salum Mwalimu mlimweka awe Makamu wa Rais wa JMT kupitia chadema! Leo eti mlugaluga.
Mbona lowasa alishakuwa hadi wazir mkuu na alipohama walisema AMEJINYEA Jukwaani? Hukumbuki tukumbushe???
 
Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,

Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,

Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah. View attachment 3354818
ni mwanzo mzuri sana huo kisiasa :pulpTRAVOLTA:
 
Huo ndio mwanzo bora wa chaubwabwa!
 
Ukiwa ccm unakuwa na akili za mende ea chooni
 
Back
Top Bottom