PreGE2025 Hongereni CHAUMMA kwa mwanzo ulio bora kabisa, chama hujengwa, na hatimaye husimama!

PreGE2025 Hongereni CHAUMMA kwa mwanzo ulio bora kabisa, chama hujengwa, na hatimaye husimama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bwembwe zote zile mara helicopter halafu watu hawafiki hata 100.

Chama kimeshajifia kampeni ya kwanza tu
 
Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,o

Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,

Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah.
==============
Hata chadema huwa inabuma pamoja na uzowefu wao wote, mfano same haikupata watu kabisa, na slogan yao!
View attachment 3354818
Chadema ilianza hivi hivi mpk ikawa maarufu

Wanaharakati wameingia juzi,wamekuta Mbowe kashaweka misingi,chama kimekua,sasa wanamuita Mbowe kalamba asali na kumtukana 😀😀😀

Watanzania sio wa kuwaamini
 
Tatizo hawakupika ubwabwa. UBWABWA ungelikuwepo watu wangekuwa nyomi
 
Mziki

Mziki unakuja kusimama huu na kuwa tishio, kwa wanaojua maswala ya Ujenzi, wapo watu pia wanaujuzi wa kubomoa!
Hata Zito mlimuingiza mjini hivihivi kupambana na cdm kwa faida ya ccm, akaja na moto wa kifuu kuliko huu. Kwenye uchaguzi wa 2015 akapewa hela na ccm za kusimamisha mgombea wa urais, na wabunge na madiwani nchi nzima, Zito pekee ndio akapata ubunge. Fuatilia zile ofisi na wale wagombea wa ACT 2015 waliishia wapi. Naona ccm hamjajifunza mmewarukia Chauma kwa mbinu zilezile za kizamani!
 
Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,o

Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha hapo ilipo, mpuuzi anaweza kuona ni kazi ndogo kwa sababu anajua kupiga makelele lakini sivyo lots of brain needed for that works!,

Chaumma songeni mbele, jipangeni puuzeni wapuuzi wanaowakatisha tamaa mtafika salama salimini,
# Inshaallah.
==============
Hata chadema huwa inabuma pamoja na uzowefu wao wote, mfano same haikupata watu kabisa, na slogan yao!
View attachment 3354818
Kuna mwaka hakimu alimsomea hukumu mhalifu akamwambia "...hapo ulipo unakwenda kutumikia kifungo cha miaka 5 jela" mhalifu akasogea pembeni akamuuliza hakimu " ..na hapa je?" Hakimu akamwambia "nakuongeza miaka miwili kwa kudharau mahakama" mhalifu akasema "...bora nirudi palepale pa miaka mitano"
 
Back
Top Bottom