PreGE2025 Hongereni CHAUMMA kwa mwanzo ulio bora kabisa, chama hujengwa, na hatimaye husimama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukisikia nyumbu hovyo ndo hivi, hao unaowakashfu walishakuwa viongozi wenu miaka mingi. Huyo Salum Mwalimu mlimweka awe Makamu wa Rais wa JMT kupitia chadema! Leo eti mlugaluga.
Mpuuzi huyo, pamoja na wewe pia
 
Mkuu unawajaza hawa watz wa leo sio wa kuwabeba mzobemzobe tena.
Hawa ili wajaze uwanja ita wagharimu sana
 
Watu mna unafiki hadi shetani anawakataa.
Mnazidi tu kuwapoteza wenzenu.
Badala ya kuwambia lile fungu walilopewa waliweke akiba pale project yao itakapo wind up wawe na mtaji mnawadanganya na kuwapa moyo wapukutishe chote ili mje muwacheke. Siyo poa
 
Ukisikia nyumbu hovyo ndo hivi, hao unaowakashfu walishakuwa viongozi wenu miaka mingi. Huyo Salum Mwalimu mlimweka awe Makamu wa Rais wa JMT kupitia chadema! Leo eti mlugaluga.
Mbona lowasa alishakuwa hadi wazir mkuu na alipohama walisema AMEJINYEA Jukwaani? Hukumbuki tukumbushe???
 
ni mwanzo mzuri sana huo kisiasa
 
Huo ndio mwanzo bora wa chaubwabwa!
 
Ukiwa ccm unakuwa na akili za mende ea chooni
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…