PreGE2025 Hongereni CHAUMMA kwa mwanzo ulio bora kabisa, chama hujengwa, na hatimaye husimama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bwembwe zote zile mara helicopter halafu watu hawafiki hata 100.

Chama kimeshajifia kampeni ya kwanza tu
 
Chadema ilianza hivi hivi mpk ikawa maarufu

Wanaharakati wameingia juzi,wamekuta Mbowe kashaweka misingi,chama kimekua,sasa wanamuita Mbowe kalamba asali na kumtukana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Watanzania sio wa kuwaamini
 
Tatizo hawakupika ubwabwa. UBWABWA ungelikuwepo watu wangekuwa nyomi
 
Mziki

Mziki unakuja kusimama huu na kuwa tishio, kwa wanaojua maswala ya Ujenzi, wapo watu pia wanaujuzi wa kubomoa!
Hata Zito mlimuingiza mjini hivihivi kupambana na cdm kwa faida ya ccm, akaja na moto wa kifuu kuliko huu. Kwenye uchaguzi wa 2015 akapewa hela na ccm za kusimamisha mgombea wa urais, na wabunge na madiwani nchi nzima, Zito pekee ndio akapata ubunge. Fuatilia zile ofisi na wale wagombea wa ACT 2015 waliishia wapi. Naona ccm hamjajifunza mmewarukia Chauma kwa mbinu zilezile za kizamani!
 
Mziki

Mziki unakuja kusimama huu na kuwa tishio, kwa wanaojua maswala ya Ujenzi, wapo watu pia wanaujuzi wa kubomoa!
Ccm inapoteza hela za walipa kodi tu kwa hawa wahuni wanaowafadhili...
Shame
 
Kuna mwaka hakimu alimsomea hukumu mhalifu akamwambia "...hapo ulipo unakwenda kutumikia kifungo cha miaka 5 jela" mhalifu akasogea pembeni akamuuliza hakimu " ..na hapa je?" Hakimu akamwambia "nakuongeza miaka miwili kwa kudharau mahakama" mhalifu akasema "...bora nirudi palepale pa miaka mitano"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…