Mayuki Waitara, bahati nzuri na mimi napajua KCB Mwanza. Sijawahi kuwa mteja lakini nilishaenda pale several times nikiwa na wateja wa hapo pamoja na kulipa ada za watoto. Customer care si kitu rahisi sana na kwa KCB Mwanza tatizo ni kwamba walitakiwa watenganishe vitengo viwili,kwa maana na Operation na business. Hawa watu wote wana skills za operation hawako ki service wala business. Mmoja wao alitakiwa awe amebobea upande wa business na service. Mabranch meneja wa mabenki mengi ni watu wa masoko kwa 100% na pia huwa wako vizuri sana upande wa customer service. Kwa ulichoandika ina maana huyo branch meneja amekosa skills za masoko na huduma kwa wateja. Kwa mtu wa operation, kazi yake ni kuhakikisha anaangalia zaidi control,yawezakuwa ulienda pale kwa ajili ya transfer wakati docs zako hazikuwa sawa ila ww ulifikiri ziko sawa,hivyo kwa nature ya kazi yake lazima tu akukatalie. Hapa sasa inategemea na skills zake,hata the way anavyoweza kureject transaction yako,kama hayuko professional atareject kama kwa kukukomoa but if he is competent angeweza kukuelimisha na ukatoka umelidhika. Uongozi wa benki utaona a naamini watalifanyia kazi kama watakuwa na mpango wa kuboresha tawi lao. Sie huwa tunaishia kwa watu wa madirishani na tunahudu.iwa tu vizuri bila shida.