Hongereni Equity Bank-Mwanza!! KCB mna safari ndefu

Hongereni Equity Bank-Mwanza!! KCB mna safari ndefu

Mayuki Waitara, bahati nzuri na mimi napajua KCB Mwanza. Sijawahi kuwa mteja lakini nilishaenda pale several times nikiwa na wateja wa hapo pamoja na kulipa ada za watoto. Customer care si kitu rahisi sana na kwa KCB Mwanza tatizo ni kwamba walitakiwa watenganishe vitengo viwili,kwa maana na Operation na business. Hawa watu wote wana skills za operation hawako ki service wala business. Mmoja wao alitakiwa awe amebobea upande wa business na service. Mabranch meneja wa mabenki mengi ni watu wa masoko kwa 100% na pia huwa wako vizuri sana upande wa customer service. Kwa ulichoandika ina maana huyo branch meneja amekosa skills za masoko na huduma kwa wateja. Kwa mtu wa operation, kazi yake ni kuhakikisha anaangalia zaidi control,yawezakuwa ulienda pale kwa ajili ya transfer wakati docs zako hazikuwa sawa ila ww ulifikiri ziko sawa,hivyo kwa nature ya kazi yake lazima tu akukatalie. Hapa sasa inategemea na skills zake,hata the way anavyoweza kureject transaction yako,kama hayuko professional atareject kama kwa kukukomoa but if he is competent angeweza kukuelimisha na ukatoka umelidhika. Uongozi wa benki utaona a naamini watalifanyia kazi kama watakuwa na mpango wa kuboresha tawi lao. Sie huwa tunaishia kwa watu wa madirishani na tunahudu.iwa tu vizuri bila shida.
 
Kandawe nashukuru kwa mawazo yako.Mi nakubaliana n wewe kuwa wajue wako pale kwaajili ya Wateja..Leo ukikutana na wateja 10 waliokuwa pale ni wawili au mmoja tu atakwambia yuko happy na KCB services. Mi nimeenda na document zilizokataliwa KCB kufanya transfer, naenda Equity namkuta Branch Manager mwenyewe customer service in 10 minutes washamaliza kila kitu.very friendly and humble na si Mara moja utadhani yule Meneja wa pale ndio mtu wa Customer service muda mwingi yuko pale anachat na Wateja anakushauri kiukweli unajisikia vizuri..Mi nawashauri KCB mwanza bado wana uwezo wa kujifunza kutoka kwa majirani zao.Nikiwa huku Kenya hawa KCB ni wazuri mno ila kwa Mwanza sitaki.Kuna staff wachache kama kina Angel,Nyanda, na yule dada mnyarwanda Sijui mmasai kwakweli wanajitahidi ila bado KCB wabadilike tunaipenda ila hawapendi Wateja wao.(Mi sio mteja wao).
 
Equity ni moja ya benki zinazofanya vizuri kwa sasa kwa ukanda huu wa east africa
 
Wapo Vizuri ila Jambo Moja Hawana ATM machine zaidi ya Mwanza Walipoweka Tawi lao basi...

Ingawa wanajitahidi sana kuwa na Mawakala ambapo ukitoa Pesa Na Makato yanazidi bora ya ATM
 
Nyie mmetumwa au mbona manyuzi marefu kusifia ugali wa watu
 
kuhudumia wateja na wote wakakukubali ni karama. Kuna wateja wanamkubali sana huyo meneja,sasa sijui hapo inakuwaje. Japo kweli kuna wasiomkubali pia.
Hata hivyo wana KCB wanatakiwa kuichukua hii positively na naamini si wabaya sana ni vitu tu vidogo vidogo wanatakiwa wajiweke kiushindani. Bado wanakubalika.
 
Mtoa mada soma apa. Juz tar moja nilienda equety tawi la mbagala . Ase wana luga nzur wale wahudumi , nashukuru mungu sana me kwenda pale nilihudumiwa mpaka nikafulah . Mwez ulopita nilienda bank ya post ikwiriri yan wana huduma mbovu mfano hakuna, walimhudumia mzee m1 pale cku taman hata kufungua acc pale ingawa sikwenda kwa shida hyo . pumbav zao tawi lile . Hongeren sana eaquty bank
 
Kwa jinsi ushindani ulivyo,menejimenti ya KCB iwabadirishe hao wanaoikwamisha. Hao mabosi wahamishwe wote wapelekwe kwenye head office yao ili waweze kuwamonitor vizuri na nafasi zao waweke watu wanaoweza kwenda kiushindani au ili kulinisuru tawi lao walete mbadala toka matawi yanayofanya vizuri ili kulikwamua lisije zama. Maana tatizo la Mwanza watu wake ni hatari,wakiamua kukususa utadoda na bidhaa zako.
 
Nasema ukweli kabisa kama benki za Tanzania hazitobadilika na equity ikiongeza matawi yake hapa Tanzania, zitabaki historia tu,
Nimekuwa mwanachama mwaminifu toka 2013.
 
Back
Top Bottom