mayuki waitara
New Member
- May 29, 2018
- 4
- 2
HOPE UJUMBE ULIFIKA...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kandawe nashukuru kwa mawazo yako.Mi nakubaliana n wewe kuwa wajue wako pale kwaajili ya Wateja..Leo ukikutana na wateja 10 waliokuwa pale ni wawili au mmoja tu atakwambia yuko happy na KCB services. Mi nimeenda na document zilizokataliwa KCB kufanya transfer, naenda Equity namkuta Branch Manager mwenyewe customer service in 10 minutes washamaliza kila kitu.very friendly and humble na si Mara moja utadhani yule Meneja wa pale ndio mtu wa Customer service muda mwingi yuko pale anachat na Wateja anakushauri kiukweli unajisikia vizuri..Mi nawashauri KCB mwanza bado wana uwezo wa kujifunza kutoka kwa majirani zao.Nikiwa huku Kenya hawa KCB ni wazuri mno ila kwa Mwanza sitaki.Kuna staff wachache kama kina Angel,Nyanda, na yule dada mnyarwanda Sijui mmasai kwakweli wanajitahidi ila bado KCB wabadilike tunaipenda ila hawapendi Wateja wao.(Mi sio mteja wao).Mayuki Waitara, bahati nzuri na mimi napajua KCB Mwanza. Sijawahi kuwa mteja lakini nilishaenda pale several times nikiwa na wateja wa hapo pamoja na kulipa ada za watoto. Customer care si kitu rahisi sana na kwa KCB Mwanza tatizo ni kwamba walitakiwa watenganishe vitengo viwili,kwa maana na Operation na business. Hawa watu wote wana skills za operation hawako ki service wala business. Mmoja wao alitakiwa awe amebobea upande wa business na service. Mabranch meneja wa mabenki mengi ni watu wa masoko kwa 100% na pia huwa wako vizuri sana upande wa customer service. Kwa ulichoandika ina maana huyo branch meneja amekosa skills za masoko na huduma kwa wateja. Kwa mtu wa operation, kazi yake ni kuhakikisha anaangalia zaidi control,yawezakuwa ulienda pale kwa ajili ya transfer wakati docs zako hazikuwa sawa ila ww ulifikiri ziko sawa,hivyo kwa nature ya kazi yake lazima tu akukatalie. Hapa sasa inategemea na skills zake,hata the way anavyoweza kureject transaction yako,kama hayuko professional atareject kama kwa kukukomoa but if he is competent angeweza kukuelimisha na ukatoka umelidhika. Uongozi wa benki utaona a naamini watalifanyia kazi kama watakuwa na mpango wa kuboresha tawi lao. Sie huwa tunaishia kwa watu wa madirishani na tunahudu.iwa tu vizuri bila shida.
Sawaa staff wa kcbkazi kulalamika tu suhame tu tawi uende huko unakoenda
Hahahahaa...afadhali hata umemjibu wewe..sisi hatuko kuharibu ila kuwapa feedback as customersSawaa staff wa kcb
Hujahudumiwa na benk ya equty tu. Ndo utajua kuna costema care co hawa ma posta na ma kbc , shabbatNyie mmetumwa au mbona manyuzi marefu kusifia ugali wa watu