Hongereni GSM kwa kuweza kuwanunua Simba match ya leo

Hata kama yanga wananunua mechi lakini wako vzur msimu huu
 
Ha haaa...umetisha Mwananchi.
 
Ha haaa...umetisha Mwananchi.
 
Koloz wasihangaike kusajili tena fedha zao wawekeze kitengo cha uchunguzi kuwabaini GSM maana wanauwezo Sawa na Real Madrid ila bahasha za GsM ndizo zimepelekea kupotea msimu huu.
 
GSM kamuonga hata MO ?duu ww kapimwe mkojo
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Koloz wasihangaike kusajili tena fedha zao wawekeze kitengo cha uchunguzi kuwabaini GSM maana wanauwezo Sawa na Real Madrid ila bahasha za GsM ndizo zimepelekea kupotea msimu huu.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…