Hongereni GSM kwa kuweza kuwanunua Simba match ya leo

Jitekenye ucheke
 
si kuweweseka huko! mkimaliza kuongea Kiswahili mtaongea kizungu kichina na kihutu! goli moja linauma acha mchezo! Feisaaaaaaaaalll@!@
 
Kooo kahongwa na gsm ili auze mechi. Maana yanga bila bahasha hamna kitu.

Semeni kolo mmehongwa bei gani.
 
Tumefungwa kihalali tulikubali hilo tena kwa bonge la shuti. Tusubiri msimu ujao, kizuri ni kwamba hatutasubiri kwa miaka mitano kama wenzetu walivyosota!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…