Hongereni ITV habari, nimerudi kwenu baada ya kuhitimisha kwamba Azamtv (UTV) habari ni sawa TBC TU

Boston12

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
506
Reaction score
1,678
Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV.

Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini huwezi kuikuta habari kama hiyo UTV.

Habari ni nyingi tu ambazo UTV huwa wanazipita kama vile madhila wanayopitia watanzania wenzetu sio raia wa nchi. Jambo camera za UTV ni za kisasa with high quality lakini kwa haya I consider them nonsense.

ITV nimerudi kwenu kuangalia habari maana habari zenu zipo realistic with what actually happened in the Tanzania community. Ila mjitaidi kubadili camera zenu ziwe za kisasa watangazaji hawaonekani vizuri. Lakini pamoja na hayo mapungufu habari wasizopenda wale chawa mnatupa kwa uwazi kabisa sio vipande vipande kama wale waarabu wa Zanzibar.
 
Ila kuna watu mna moyo bado mnafatilia hizi tv?

Nenda Youtube kule watu ndiko aamehamia. Milions of views wako kule siku hizi.

online streamers ndio bora kwa sasa
Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini huwezi kuikuta habari kama hiyo UTV.
 
Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV.

Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini huwezi kuikuta habari kama hiyo UTV.

Habari ni nyingi tu ambazo UTV huwa wanazipita kama vile madhila wanayopitia watanzania wenzetu sio raia wa nchi. Jambo camera za UTV ni za kisasa with high quality lakini kwa haya I consider them nonsense.

ITV nimerudi kwenu kuangalia habari maana habari zenu zipo realistic with what actually happened in the Tanzania community. Ila mjitaidi kubadili camera zenu ziwe za kisasa watangazaji hawaonekani vizuri. Lakini pamoja na hayo mapungufu habari wasizopenda wale chawa mnatupa kwa uwazi kabisa sio vipande vipande kama wale waarabu wa Zanzibar.
Tv za siku hizi Kuna Habari nyingi muhimu sana. Wako wamejikita kwa mipira na kutangaza Kamari tu.

Basi watangaze hata ajali za mbeya
 
Back
Top Bottom