Aisee yule dada huwa anazingua sana, sijui uwa anabana sauti kwa malengo Gani?Utv habar = sinema zetu.
Yule hilda anabana pua kama kakumbatiwa chumbani kwake
IPO kwenye kisimbuzi Cha Azam na inamilikiwa na Azam tvUTV ndio TV gani?
Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini huwezi kuikuta habari kama hiyo UTV.
Ulishawahi kuona hizo tuzo?Kwa maudhui ITV wako vizuri ndio maana wanachukua Superbrand kila mwaka
Ilikuwa zamaniUlishawahi kuona hizo tuzo?
Huwa naona wakikabidhiwaUlishawahi kuona hizo tuzo?
Wap Na nan?Huwa naona wakikabidhiwa
Tv za siku hizi Kuna Habari nyingi muhimu sana. Wako wamejikita kwa mipira na kutangaza Kamari tu.Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV.
Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini huwezi kuikuta habari kama hiyo UTV.
Habari ni nyingi tu ambazo UTV huwa wanazipita kama vile madhila wanayopitia watanzania wenzetu sio raia wa nchi. Jambo camera za UTV ni za kisasa with high quality lakini kwa haya I consider them nonsense.
ITV nimerudi kwenu kuangalia habari maana habari zenu zipo realistic with what actually happened in the Tanzania community. Ila mjitaidi kubadili camera zenu ziwe za kisasa watangazaji hawaonekani vizuri. Lakini pamoja na hayo mapungufu habari wasizopenda wale chawa mnatupa kwa uwazi kabisa sio vipande vipande kama wale waarabu wa Zanzibar.
Huwa naona kwenye tv tu wakikabidhiwa tu na wahindi fulani mengine sijuiWap Na nan?