funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Kwa kuwa tulikosea sana kusomesha ngwini wengi na tukasahau kusomesha wanasayansi basi Taifa linajikuta katika mijadala isiyo na tija na kuacha kuangazia maendeleo ya kweli katika sekta muhimu kama afya.
Nimejuzwa kuwa sasa JKCI imeweza kufanya operesheni ya kipekee na kihistoria kwa mtoto wa umri wa siku mbili.
Nimejuzwa kuwa sasa JKCI imeweza kufanya operesheni ya kipekee na kihistoria kwa mtoto wa umri wa siku mbili.