Hongereni JKCI:Mtoto wa siku mbili afanyiwa upasuaji!!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwa kuwa tulikosea sana kusomesha ngwini wengi na tukasahau kusomesha wanasayansi basi Taifa linajikuta katika mijadala isiyo na tija na kuacha kuangazia maendeleo ya kweli katika sekta muhimu kama afya.

Nimejuzwa kuwa sasa JKCI imeweza kufanya operesheni ya kipekee na kihistoria kwa mtoto wa umri wa siku mbili.
 
Ujuzwe wewe kama nani?
 
Unawajua waliofanya upasuaji huo nje ya Wahindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…