GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.
Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.
Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.