Kwani wamenunua zipi?Kuna ndege mpya JWTZ imepatiwa? Sitaki kuamini kama uchumi wetu unaruhusu. Namlaumu Kikwete kuagiza Chengdu J-7G miaka ya kuanzia 2012 wakati ni ndege very outdated kwa sasa. Hizo Mig 21 tulitumia kipindi cha vita ya Iddi Amin hadi leo zipo sijui hata status yake kama ni functional na serviceability status
Nakumbuka Uganda wana Sukhoi model ya SU-30 ni hatari mashine hizi.