Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

Kwani wamenunua zipi?

Nakumbuka Uganda wana Sukhoi model ya SU-30 ni hatari mashine hizi.
 
Ni sauti ya SU au MIG wajitahidi angalau wapate F16 ramptor
 
Natamani watu wakuelewe ulichoondika wasijibu kwa mihemko
 
Africa, nchi iliyokuwa smart kwa nguvu ya kijeshi, Ethiopia haikuwahi kukosekana kwenye top ten.

Vp Léo kulikoni
 
Hivi lete moderm equipment za jwtz tuzione tuu. Kuanzia UAV , IFV, MRAP, air defense system, jet, military gear.
Mizinga ya kisasa? N.k Lete hapa tuzione.

T14 Armata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…