-umeolewa lakin wewe ndo unadunduliza ili familia ipate ugali,
-mda huo mme yupo kwenye kijiwe cha kahawa akibishana kati ya Mo na Mengi nani ana hela
-akirudi nyumbani anataka ugali, baada ya kula anakunyofoa buku aende mpiran
-anatoka mpiran kachoka ana stress kumbe alikuwa kabet na mkeka umechanika
-na hapo anarudi nyumban kabebwa mgongon na njemba eti kaogopa kukanyaga chini mvua imenyesha
-mwisho wa siku anataka papuchi ukichanganya uchovu wa kukaa vijiwen anaishia kimoja ndan ya dk 4 kashuka
-na haujawahi kumsema ovyo mtaan wala hujafikiria kumuacha
HONGERENI SANA