Hongereni kina dada/wanawake wa aina hii!

Hongereni kina dada/wanawake wa aina hii!

Ngosha Mashine

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
665
Reaction score
1,360
-umeolewa lakin wewe ndo unadunduliza ili familia ipate ugali,
-mda huo mme yupo kwenye kijiwe cha kahawa akibishana kati ya Mo na Mengi nani ana hela
-akirudi nyumbani anataka ugali, baada ya kula anakunyofoa buku aende mpiran
-anatoka mpiran kachoka ana stress kumbe alikuwa kabet na mkeka umechanika
-na hapo anarudi nyumban kabebwa mgongon na njemba eti kaogopa kukanyaga chini mvua imenyesha
-mwisho wa siku anataka papuchi ukichanganya uchovu wa kukaa vijiwen anaishia kimoja ndan ya dk 4 kashuka
-na haujawahi kumsema ovyo mtaan wala hujafikiria kumuacha
HONGERENI SANA
 
Mwanamke wa hivyo hapana atanilemaza, mi nataka nimerudi nikuulize ugali umepikaje na hela sikuacha unijibu mbovu tuanze kubondana kwanza.

Tuburuzane mtaa mzima watujue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiulizwa nn eti watu watanionaje nikiachika mfyuuuuuu
Mpk kifo kiwatenganishee...!!!unakubali kudhalilika wanaume hawa!!
 
Back
Top Bottom