Hongereni kina dada/wanawake wa aina hii!

Hongereni kina dada/wanawake wa aina hii!

Mwanamke wa hivyo hapana atanilemaza, mi nataka nimerudi nikuulize ugali umepikaje na hela sikuacha unijibu mbovu tuanze kubondana kwanza.

Tuburuzane mtaa mzima watujue

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Nikionaga mwanaume Wa hvo lazma mke wake ni mmendee,lazima npate papuchi
 
Mwanamke wa hivyo hapana atanilemaza, mi nataka nimerudi nikuulize ugali umepikaje na hela sikuacha unijibu mbovu tuanze kubondana kwanza.

Tuburuzane mtaa mzima watujue
Duuuuh!
 
-umeolewa lakin wewe ndo unadunduliza ili familia ipate ugali,
-mda huo mme yupo kwenye kijiwe cha kahawa akibishana kati ya Mo na Mengi nani ana hela
-akirudi nyumbani anataka ugali, baada ya kula anakunyofoa buku aende mpiran
-anatoka mpiran kachoka ana stress kumbe alikuwa kabet na mkeka umechanika
-na hapo anarudi nyumban kabebwa mgongon na njemba eti kaogopa kukanyaga chini mvua imenyesha
-mwisho wa siku anataka papuchi ukichanganya uchovu wa kukaa vijiwen anaishia kimoja ndan ya dk 4 kashuka
-na haujawahi kumsema ovyo mtaan wala hujafikiria kumuacha
HONGERENI SANA
Matukio ya mjini darusalama na mdogo wake tanga.
 
Hamna mkuu,walishaisha kitambo ss hv wamebaki wale ukimwaga ugali yy anamwaga mboga au wale weka ugoko niweke chuma basi.
Wapo sana tu. Shidah ni kwamba wale wenye mapoz ndio wengi kuliko wenye roho nzuri.

Nimewah kuwa na mmoja wa hivyo.
 
dah nimecheka sana aisee!
watu wa humu mmevurugwa sana,h ahah ahahah ah!
 
Back
Top Bottom