Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
Kwani Mwanamke wa hivyo yupo?
Note:Kuuliza si ujinga
Note:Kuuliza si ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke wa hivyo hapana atanilemaza, mi nataka nimerudi nikuulize ugali umepikaje na hela sikuacha unijibu mbovu tuanze kubondana kwanza.
Tuburuzane mtaa mzima watujue
Mambo za kifo kitutenganishe ni zamani hizo sio siku hizi nduguMpk kifo kiwatenganishee...!!!unakubali kudhalilika wanaume hawa!!
Ha ha ha ha ha Dasilaamduu utani wa ngumi kwa wanaume wa dar
Duuuuh!Mwanamke wa hivyo hapana atanilemaza, mi nataka nimerudi nikuulize ugali umepikaje na hela sikuacha unijibu mbovu tuanze kubondana kwanza.
Tuburuzane mtaa mzima watujue
Hamna mkuu,walishaisha kitambo ss hv wamebaki wale ukimwaga ugali yy anamwaga mboga au wale weka ugoko niweke chuma basi.Kwani Mwanamke wa hivyo yupo?
Note:Kuuliza si ujinga
Matukio ya mjini darusalama na mdogo wake tanga.-umeolewa lakin wewe ndo unadunduliza ili familia ipate ugali,
-mda huo mme yupo kwenye kijiwe cha kahawa akibishana kati ya Mo na Mengi nani ana hela
-akirudi nyumbani anataka ugali, baada ya kula anakunyofoa buku aende mpiran
-anatoka mpiran kachoka ana stress kumbe alikuwa kabet na mkeka umechanika
-na hapo anarudi nyumban kabebwa mgongon na njemba eti kaogopa kukanyaga chini mvua imenyesha
-mwisho wa siku anataka papuchi ukichanganya uchovu wa kukaa vijiwen anaishia kimoja ndan ya dk 4 kashuka
-na haujawahi kumsema ovyo mtaan wala hujafikiria kumuacha
HONGERENI SANA
Hao aina ya wanawake unao wasifia wapo kweli?
Wapo sana tu. Shidah ni kwamba wale wenye mapoz ndio wengi kuliko wenye roho nzuri.Hamna mkuu,walishaisha kitambo ss hv wamebaki wale ukimwaga ugali yy anamwaga mboga au wale weka ugoko niweke chuma basi.