Hongereni mliokula njama za kuihujumu Simba leo, lakini mjue Mangungu hatoachia timu asilani

Kolo lingine hili hapa, kama watu wa nje wanaweza kuwapiga 5 G basi tuwape timu maana waliopo wamekubali kufungwa.
Kila siku mnalalamika timu inacheza kikolokolo leo umesahau. Kila mechi simba inashinda papatu papatu mchezo mbovu, sasa kwa mchezo gani msifungwe 5 G?
 
Endelea kudhihirisha umbumbumbu wako.
 
Mbona hata kwenye EPL timu zinapigwa hadi magoli 8, 9 lkn hayasemwi haya yote. Watanzania bogus sana.
Liver alilimwa 7, Man U alilimwa 6 lakini huwezi kusikia fulani alituhujumu na ishu kama hizo.

Na mpira wa bongo umekua sana, ila mashabiki na viongozi uchwara ndo huleta propaganda za kipuuzi kama hizi.
Na hizi mambo huwagharimu wao wenyewe.

Toka simba day tuliwaambia hamna timu hapo, kila mechi wanaruhusu goli tukawaambia hamna timu hapo wakabisha.

Ona sasa wamelimwa mkono nao, tumewaingiza kwenye list ya timu tulizozichapa mkono msimu huu.
 
Saido, chama miquison ni wachezaji butu hao. Kibu manguvu angalau hutumia manguvu yake kutia jambajamba timu pinzani.

Chama ni mzuri timu ikiwa inashambulia na inakaa na mpira.
Leo alipotea kabisa na hata alipotoka kwakweli wengi hatukujua maana hamna kilichokua kimebadirika.
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5

Hamsa [emoji113]...,bado hamjasema [emoji1]
 
Acha ushabiki maandazi mpira umepigwa uwanjani na sio chumbani
 
Unasajili wachezaji wa kuwaiba airport unatdgemea nini? Usajili ni sayansi siyo ubabaishaji. Timu yenu ni mbovu usitafute visingizio. Simba mnajidanganya mna timu nzuri wakati ni magalasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…