Hongereni mliokula njama za kuihujumu Simba leo, lakini mjue Mangungu hatoachia timu asilani

Simba sio ya kufungwa bao 5 hata kama mpira unadunda kiasi gani, ulisukwa mkakati wa muda mrefu baina ya wanaojiita wajanja wa mjini ambao wameondolewa ndani ya Simba na wale walioshindwa kwenye uchaguzi wakaamua kuungana na adui ili tu akina Mangungu waonekane hawana uwezo.Ukweli ni kuwa wale walioondolewa ktk benchi la ufundi na kupelekwa Simba B nao wameshiriki kwenye usaliti huo, wenyewe wanadai ndio wenye Simba yao, haya yaliyofanyika leo ndio yale yale yaliyofanyika wakati wa Yanga ya Nchunga Lyod ambapo marehem Mzee Akilimali aliisaidia Simba kuwaua Yanga bao 5 0 na siku ile alisema kabisa na ninamnukuu, "Tuone kama Simba atafungwa" mwisho wa kunukuu, Yanga akala mkono.

Leo wasaliti ndani ya Simba wamechukua mzigo wao mapema na wakaeleza A to Z kwa maadui zetu.Lengo lao warudishwe ndani ya timu ili maisha yaendelee.

Mashabiki na wanachama wala msiumie, Simba haikufungwa kimpira leo, wasaliti ndani ya timu ambao wako nje ndio wameifunga Simba leo, Yanga mtoto mdogo sana, sana tena, ila wamepewa furaha na watu wetu wasiompenda Mangungu.
Hina akili
 
Leo tumekatika wenyewe nadhani na uchovu na uzee na ulege lege wa baadhi ya wachezaji ulichangia.
 
Simba sio ya kufungwa bao 5 hata kama mpira unadunda kiasi gani, ulisukwa mkakati wa muda mrefu baina ya wanaojiita wajanja wa mjini ambao wameondolewa ndani ya Simba na wale walioshindwa kwenye uchaguzi wakaamua kuungana na adui ili tu akina Mangungu waonekane hawana uwezo.Ukweli ni kuwa wale walioondolewa ktk benchi la ufundi na kupelekwa Simba B nao wameshiriki kwenye usaliti huo, wenyewe wanadai ndio wenye Simba yao, haya yaliyofanyika leo ndio yale yale yaliyofanyika wakati wa Yanga ya Nchunga Lyod ambapo marehem Mzee Akilimali aliisaidia Simba kuwaua Yanga bao 5 0 na siku ile alisema kabisa na ninamnukuu, "Tuone kama Simba atafungwa" mwisho wa kunukuu, Yanga akala mkono.

Leo wasaliti ndani ya Simba wamechukua mzigo wao mapema na wakaeleza A to Z kwa maadui zetu.Lengo lao warudishwe ndani ya timu ili maisha yaendelee.

Mashabiki na wanachama wala msiumie, Simba haikufungwa kimpira leo, wasaliti ndani ya timu ambao wako nje ndio wameifunga Simba leo, Yanga mtoto mdogo sana, sana tena, ila wamepewa furaha na watu wetu wasiompenda Mangungu.
Mnataka tuseme muone tunatukana, haya Sawa. Lakini kuna Mtu anaamini Ile ni timu ya ushindani kabisa basi pole yake.
 
Tumefungwa kihalali.

Mara ngapi tunalalamikia pira bovu la kocha?, leo tumeoneshwa matobo hivyo kikubwa ni kuacha propaganda zisizoisaidia timu.

Tumesajili mafaza wa kula pension unategemea waweze kukimbizana na vijana dakika 90?.

Kocha kila siku anawapanga walewale akina Kapombe, Zimbwe, Saido et al wakati una vijana kama akina Duchu, Mwenda et al ambao wanaweza kukimbiza dakika 90 maana hawajachoka.

Kila mechi Simba inaruhusu magoli, ulitegemea muujiza gani hapo?, acheni propaganda zenu.

Mlileta akina Manzoki wa mapambo kwenye kampeni zenu badala ya kusajili vyuma kwa vitendo.

"Mtakula mlikopeleka mboga"
sasa mkuu tatizo ni eneo la mwisho au ,kiujumla eneo la kiungo kulikuwa na watu wachache wew huwezi kuweka viungo wawili against watu 5 wa wapinzani na inajulikana kabisa eneo la kiungo la mpinzan liko imara what a mistake from coach sielewi hata alikuwa na malengo gani kweka viungo wawili na kumwanzisha Manula kwenye mechi kubwa hii
 
Kama Simba haijawahi mfunga Yanga 5 kwa 0
Basi na mlieeeeeeee....
Mjigaragaze...
Usikupe kipenzi vumilieni mtapona😂😂😂
5 inauma sana najua🤣🤣
 
Mpira una Matokeo 4

1. Kushinda
2.sare
3.kushindwa
4. Kushindwa kwa kipigo
 
Unasajili wachezaji wa kuwaiba airport unatdgemea nini? Usajili ni sayansi siyo ubabaishaji. Timu yenu ni mbovu usitafute visingizio. Simba mnajidanganya mna timu nzuri wakati ni magalasa tu.
mpira ni mchezo wa makosa kwani ninyi mlivyofungwa na Ihefu tulisema ninyi ni wabovu stay tune football is a game of chance hata kocha wenu alisema atakayefanya kosa atakuta mpira wavuni sisi ni akina nani tusifungwe Brazil kapigwa 7 Al ahly kapigwa 5 kwann Simba asifungwe cha msingi ni kurekebisha makosa tuu
 
Wacha ujinga! Mpira sio bangi eti tuseme ikavutiwe kwenye uficho... dunia nzima imeona mmevyogaragwaza kwa uzwazwa wenu na kuzidiwa akili na mbinu. Usituletee siasa hapa za kusingizia vilivyo huko nje. Sasa kulikuwa na hujuma gani mule ndani?!

Na bado! Mna majivuno sana timu yenyewe ya waarabu na wahindi... nyie kutwa kelele 🤣👍🏾
 
Simba sio ya kufungwa bao 5 hata kama mpira unadunda kiasi gani, ulisukwa mkakati wa muda mrefu baina ya wanaojiita wajanja wa mjini ambao wameondolewa ndani ya Simba na wale walioshindwa kwenye uchaguzi wakaamua kuungana na adui ili tu akina Mangungu waonekane hawana uwezo.Ukweli ni kuwa wale walioondolewa ktk benchi la ufundi na kupelekwa Simba B nao wameshiriki kwenye usaliti huo, wenyewe wanadai ndio wenye Simba yao, haya yaliyofanyika leo ndio yale yale yaliyofanyika wakati wa Yanga ya Nchunga Lyod ambapo marehem Mzee Akilimali aliisaidia Simba kuwaua Yanga bao 5 0 na siku ile alisema kabisa na ninamnukuu, "Tuone kama Simba atafungwa" mwisho wa kunukuu, Yanga akala mkono.

Leo wasaliti ndani ya Simba wamechukua mzigo wao mapema na wakaeleza A to Z kwa maadui zetu.Lengo lao warudishwe ndani ya timu ili maisha yaendelee.

Mashabiki na wanachama wala msiumie, Simba haikufungwa kimpira leo, wasaliti ndani ya timu ambao wako nje ndio wameifunga Simba leo, Yanga mtoto mdogo sana, sana tena, ila wamepewa furaha na watu wetu wasiompenda Mangungu.
Wewe nenda kalale
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila leo nacheka had bas, mashabiki wenzangu wa Simba, tugange yajayoo bhana.

Mtaanza kuibua na yasiyokuwepoo khaaaah
Wew nae unazngua, simba unafanya nini huko.
Usimuogope mangungu wala try again.
Njoo yanga, tukuunganishe mpk CCM upewe na teuzi juu
 
Ni mpira tu, hamna jipya... Arsenal aliwahi fungwa 8, Brazil 7, Utopolo 6, Man U 6, Barca 11, R. Madrid 16, leo Simba 5 ni kawaida tu
 
Maneno mengi hayasaidii, asiyekubali kushindwa si mshindani, kula chuma hicho.
 
Kwahiyo nawe ulikuwa unamsikiliza Ahmed Ally na upuuzi wake wakati mpira unachezwa hadharani na unauona...😂😂😂
 
Simba sio ya kufungwa bao 5 hata kama mpira unadunda kiasi gani, ulisukwa mkakati wa muda mrefu baina ya wanaojiita wajanja wa mjini ambao wameondolewa ndani ya Simba na wale walioshindwa kwenye uchaguzi wakaamua kuungana na adui ili tu akina Mangungu waonekane hawana uwezo.Ukweli ni kuwa wale walioondolewa ktk benchi la ufundi na kupelekwa Simba B nao wameshiriki kwenye usaliti huo, wenyewe wanadai ndio wenye Simba yao, haya yaliyofanyika leo ndio yale yale yaliyofanyika wakati wa Yanga ya Nchunga Lyod ambapo marehem Mzee Akilimali aliisaidia Simba kuwaua Yanga bao 5 0 na siku ile alisema kabisa na ninamnukuu, "Tuone kama Simba atafungwa" mwisho wa kunukuu, Yanga akala mkono.

Leo wasaliti ndani ya Simba wamechukua mzigo wao mapema na wakaeleza A to Z kwa maadui zetu.Lengo lao warudishwe ndani ya timu ili maisha yaendelee.

Mashabiki na wanachama wala msiumie, Simba haikufungwa kimpira leo, wasaliti ndani ya timu ambao wako nje ndio wameifunga Simba leo, Yanga mtoto mdogo sana, sana tena, ila wamepewa furaha na watu wetu wasiompenda Mangungu.
Visingixzo tu. Mpira umechezwa tumeuona. Referee kafanya makosa ya kibinadamu ya kawaida. Simba ilimudu kuizuia yanga dk 45 za kwanza.
Sema Simba hawana pumzi ya kukimbizana na akina mzize watoto makinda kulinganisha na kina muhamed husein. Simba ina wazee wengi.
Hakuna team yenye wazee karne ya 21 inakuwa salama inapokutana na vijana wenye ujuzi. Unakumbuka Spain ilivyochezea kichapo Kombe ka Dunia kisa wazee.
Fanyeni mabadiriko msilie lie mpira ni sayansi.
Yangu tulifeli sana tuliponga'ang'ania wazeee wa zamani kuongoza timu.
Kwa hio toeni hao wazee kwenye timu.
Ahmed Ally hawafai tena. Yule ni mvaa tsi tu ntoto wa mjini anawahada kwa maneno matamu, mkiendelea kuona mnahujumiwa mtashangaa yatakayowakuta mbeleni.
 
Back
Top Bottom