Hongereni 'Mortuary Attendant' wa Tanzania, ila usiombe Nduguyo afie India halafu uje uipokee Maiti yake waliyoiandaa Wao huko

Attendant wa bongo Mpe tu 20k

Afu wewe kaaa pembeni
 
Wewe jamaa maneno mengi halafu hamna point, elezea vizuri tukuelewe
 
Wewe jamaa maneno mengi halafu hamna point, elezea vizuri tukuelewe
Wenye Akili Kubwa wamenielewa na ndiyo maana unaona wanachangia vyema na hata Kunielimisha zaidi katika maeneo ya Kitaaluma na Kiuweledi nisiyoijua isipokuwa ulibakia Wewe peke yako Kutonielewa na pia kutouelewa huu Uzi.
 
so sad
 
Umepokea? Marehemu mia kutoka india au mmoja?

Inawezekana huyo tu ndio kakutana na mabalazuri wakamuandaa vibaya mkuu .. sio waindi wote wanaweza fanya hivyo mkuu

Sio watu wote duniani ni wabaya mkuu
Na sidhani kama ameandaliwa vibaya bali kuna baadhi ya viungo vimemis, hii hutokea hasa viungo kama moyo na huwa wanatoa kwaajili ya kujifunzia. Dada yangu alifariki KCMC walipita na moyo kwaajili ya kujifunzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…