AccomplishedEntrepreneur
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 507
- 878
Kwanini?Ndugu Mwalimu wako wa Kiingereza yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Ndugu Mwalimu wako wa Kiingereza yupo?
Wahindi hawaandai maiti, kwa sababu wao wanawachoma.Mliukuta vipi I'm curious
Retired offisaa¹In just bits papi! The question are to be answered so briefly... it will do for today[emoji4]
Kiingereza chako Kimenyooka ile mbaya.Kwanini?
Does mortuary offisaa retire at an early age, Papi? I thought the older they get the further they become experts plus they are in demandRetired offisaa¹
Nashukuru. I hope some day it will put a more decent food at the table for me and my fellas to lavish otherwise it only goes to the dustbin out thereKiingereza chako Kimenyooka ile mbaya.
Attendant wa bongo Mpe tu 20kKuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili inze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile vile.
Huko nyuma pia niliwahi kubahatika katika Kushughulikiwa Mwili ( Maiti ) iliyokuwa ikiandaliwa ( treated ) tayari kusafirishwa kwenda nchi fulani na kiukweli Mortuary Attendant wa Tanzania ( katika Hospitali husika ) waliuandaa Mwili vizuri kabisa, Kiutaalam, Kiupendo na Kiutu kabisa na naamini hata Walioupokea huko ulikoenda walishukuru na kuridhika nao.
Mwili ( Maiti ) niliyoipokea leo kutoka nchini India ( nilikoamini kuwa kuna Watu makini na Weledi ) baada ya kufika na kuikagua tayari kwa Kuiandaa kwa Kuagwa Kesho imenifanya niamini kuwa kumbe Waafrika ( hasa Watanzania ) ambao ni Mortuary Attendant wana Utu, Hekima na Ustaarabu sana katika Kuandaa Miili ya Marehemu Wetu lakini imenifanya nianze Kuwachukia Wahindi na kuamini kuwa kumbe ni Watu wenye Roho Mbaya na hawana Ubinadamu.
Ushauri wangu ( na silazimishi ) kama utakuwa na Ndugu yako nje ya nchi hasa nchini India kama mkiona dalili za Kupona hazipo tafadhali upesi sana mrudisheni tu Tanzania aje afie huku ili apate treatment nzuti ya Mortuary Attendant wa Kitanzania ila mkiacha wafie nje ( hasa huko India ) wakija huku katika Jeneza ( ambalo hugeuka kuwa Cargo ) tegemeeni kukutana na Makwazo na Uchungu mkubwa pale mkiupokea.
R.I.P Marehemu wote nchini Tanzania.
Mshana Jr kumbe umeshaosha sana maiti mkuu?Kazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
With circumstances..YES..!Does mortuary offisaa retire at an early age, Papi? I thought the older they get the further they become experts plus they are in demand
Kwa ujumla wake nimewahudumiaMshana Jr kumbe umeshaosha sana maiti mkuu?
Nahisi Uli piga pesa mingi sana kipindi una fanya kazi mortuaryKazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
Wenye Akili Kubwa wamenielewa na ndiyo maana unaona wanachangia vyema na hata Kunielimisha zaidi katika maeneo ya Kitaaluma na Kiuweledi nisiyoijua isipokuwa ulibakia Wewe peke yako Kutonielewa na pia kutouelewa huu Uzi.Wewe jamaa maneno mengi halafu hamna point, elezea vizuri tukuelewe
Nimetafuta hio sehemu hadi nimechokaWammwandaa vipi mbona ktka maelezo yote sijaona? Au wamemkata baafhi ya viungo ili kumpumguza uzito?
Mshahara ni WA kawaida ila Huwa watapata sana offer kutoka kwa ndugu wa marehemSiujui kama Mortuary attendant wa Tanzania anapata mshahara mzuri kwa kazi kubwa anayofanya!
so sadKuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile vile.
Huko nyuma pia niliwahi kubahatika katika Kushughulikiwa Mwili ( Maiti ) iliyokuwa ikiandaliwa ( treated ) tayari kusafirishwa kwenda nchi fulani na kiukweli Mortuary Attendant wa Tanzania ( katika Hospitali husika ) waliuandaa Mwili vizuri kabisa, Kiutaalam, Kiupendo na Kiutu kabisa na naamini hata Walioupokea huko ulikoenda walishukuru na kuridhika nao.
Mwili ( Maiti ) niliyoipokea leo kutoka nchini India ( nilikoamini kuwa kuna Watu makini na Weledi ) baada ya kufika na kuikagua tayari kwa Kuiandaa kwa Kuagwa Kesho imenifanya niamini kuwa kumbe Waafrika ( hasa Watanzania ) ambao ni Mortuary Attendant wana Utu, Hekima na Ustaarabu sana katika Kuandaa Miili ya Marehemu Wetu lakini imenifanya nianze Kuwachukia Wahindi na kuamini kuwa kumbe ni Watu wenye Roho Mbaya na hawana Ubinadamu.
Ushauri wangu ( na silazimishi ) kama utakuwa na Ndugu yako nje ya nchi hasa nchini India kama mkiona dalili za Kupona hazipo tafadhali upesi sana mrudisheni tu Tanzania aje afie huku ili apate treatment nzuti ya Mortuary Attendant wa Kitanzania ila mkiacha wafie nje ( hasa huko India ) wakija huku katika Jeneza ( ambalo hugeuka kuwa Cargo ) tegemeeni kukutana na Makwazo na Uchungu mkubwa pale mkiupokea.
R.I.P Marehemu wote nchini Tanzania.
Ndiyo maana ukawa mchawiKazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
Na sidhani kama ameandaliwa vibaya bali kuna baadhi ya viungo vimemis, hii hutokea hasa viungo kama moyo na huwa wanatoa kwaajili ya kujifunzia. Dada yangu alifariki KCMC walipita na moyo kwaajili ya kujifunzia.Umepokea? Marehemu mia kutoka india au mmoja?
Inawezekana huyo tu ndio kakutana na mabalazuri wakamuandaa vibaya mkuu .. sio waindi wote wanaweza fanya hivyo mkuu
Sio watu wote duniani ni wabaya mkuu