Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana una mauza uzaKazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
Aisee hapo kuna vitu vitakuwa vimetolewa bilashakaMwili umekatwakatwa, tobo la Mpira aliokuwa akiutumia Kulia Chakula halikuzibwa vizuri, Mishono mingi isiyo ya Ulazima huku Dawa ikiwa si nyingi.
Bahati nzuri hata Mortuary Attendant wa Tanzania aliyeupokea Mwili husika katika hiyo Hospitali tuliyomuhifadhi nae alishangaa na Kusikitika mno huku akiwalaani vikali Wenzake wa huko nchini India Mwili ulikotokea.
shikamoo Mshana JrKazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
[emoji1787] mtani bana.Kazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
Hueleweki ulichoandika usemi wameandaa vipKuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile vile.
Huko nyuma pia niliwahi kubahatika katika Kushughulikiwa Mwili ( Maiti ) iliyokuwa ikiandaliwa ( treated ) tayari kusafirishwa kwenda nchi fulani na kiukweli Mortuary Attendant wa Tanzania ( katika Hospitali husika ) waliuandaa Mwili vizuri kabisa, Kiutaalam, Kiupendo na Kiutu kabisa na naamini hata Walioupokea huko ulikoenda walishukuru na kuridhika nao.
Mwili ( Maiti ) niliyoipokea leo kutoka nchini India ( nilikoamini kuwa kuna Watu makini na Weledi ) baada ya kufika na kuikagua tayari kwa Kuiandaa kwa Kuagwa Kesho imenifanya niamini kuwa kumbe Waafrika ( hasa Watanzania ) ambao ni Mortuary Attendant wana Utu, Hekima na Ustaarabu sana katika Kuandaa Miili ya Marehemu Wetu lakini imenifanya nianze Kuwachukia Wahindi na kuamini kuwa kumbe ni Watu wenye Roho Mbaya na hawana Ubinadamu.
Ushauri wangu ( na silazimishi ) kama utakuwa na Ndugu yako nje ya nchi hasa nchini India kama mkiona dalili za Kupona hazipo tafadhali upesi sana mrudisheni tu Tanzania aje afie huku ili apate treatment nzuti ya Mortuary Attendant wa Kitanzania ila mkiacha wafie nje ( hasa huko India ) wakija huku katika Jeneza ( ambalo hugeuka kuwa Cargo ) tegemeeni kukutana na Makwazo na Uchungu mkubwa pale mkiupokea.
R.I.P Marehemu wote nchini Tanzania.
Inawezekana duniani waafrika wanaongoza kulalamika kuhusu ubaguzi, Tunatakiwa kujitafakari sana, kwa nini sisi ni walalamishi kwenye almost mambo yote duniani kasoro kwenye ngono tuu.Wahindi huwa wanachoma moto marehemu hivyo inawezekana wana uzoefu mdogo sana kwenye uhifadhi wa miili ya binadamu haswa ikiwa ninkwa madhumuni ya kusafirisha.
Japo suala la ubaguzi linaweza kuhusika pia.
Sasa kama mnahisi wahindi wanawadharau, nyinyi mnashindwa nini kuwadharau na wao ?Hili la Kumpunguza Viungo vyake vya ndani kwa Maiti yoyote ile inayosafirishwa kutoka nchi za mbali ni la Kawaida kwani vikiachwa Maiti itanuka vibaya kwakuwa hivyo Viungo huoza kwa haraka sana.
Concern yangu ni Mwili kuandaliwa kwa Kulipua lipua, Kutokuujali na kuupa tu treatment ya kutimiza wajibu kiasi kwamba inaibua Hisia kuwa huenda Wahindi wanatudharau sana Sisi Waafrika.
Nimesikitika mno.
Mkuu umefanya KAZI hii?du umetoka m Ali sana unastaili Kila siku ulale umelewaKazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
Na sidhani kama ameandaliwa vibaya bali kuna baadhi ya viungo vimemis, hii hutokea hasa viungo kama moyo na huwa wanatoa kwaajili ya kujifunzia. Dada yangu alifariki KCMC walipita na moyo kwaajili ya kujifunzia.
Kuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile vile.
Huko nyuma pia niliwahi kubahatika katika Kushughulikiwa Mwili ( Maiti ) iliyokuwa ikiandaliwa ( treated ) tayari kusafirishwa kwenda nchi fulani na kiukweli Mortuary Attendant wa Tanzania ( katika Hospitali husika ) waliuandaa Mwili vizuri kabisa, Kiutaalam, Kiupendo na Kiutu kabisa na naamini hata Walioupokea huko ulikoenda walishukuru na kuridhika nao.
Mwili ( Maiti ) niliyoipokea leo kutoka nchini India ( nilikoamini kuwa kuna Watu makini na Weledi ) baada ya kufika na kuikagua tayari kwa Kuiandaa kwa Kuagwa Kesho imenifanya niamini kuwa kumbe Waafrika ( hasa Watanzania ) ambao ni Mortuary Attendant wana Utu, Hekima na Ustaarabu sana katika Kuandaa Miili ya Marehemu Wetu lakini imenifanya nianze Kuwachukia Wahindi na kuamini kuwa kumbe ni Watu wenye Roho Mbaya na hawana Ubinadamu.
Ushauri wangu ( na silazimishi ) kama utakuwa na Ndugu yako nje ya nchi hasa nchini India kama mkiona dalili za Kupona hazipo tafadhali upesi sana mrudisheni tu Tanzania aje afie huku ili apate treatment nzuti ya Mortuary Attendant wa Kitanzania ila mkiacha wafie nje ( hasa huko India ) wakija huku katika Jeneza ( ambalo hugeuka kuwa Cargo ) tegemeeni kukutana na Makwazo na Uchungu mkubwa pale mkiupokea.
R.I.P Marehemu wote nchini Tanzania.
Wahindi wako dini tofauti tofauti,wapo wahindi Baniani(wanachoma moto maiti),Wapo wahindi waislamu(wanazika maiti,bila jeneza),wapo wahindi wakristo(wanazika na jeneza),Wapo wahindi,Budha,wapo wahindi(dini ndogo ndogo,nyingine nyingi tu).Wapo wahindi ,hawana dini kabisa(wanazikana vyovyote alivyoacha wosia,maiti au ndugu zake waamuwe wamzike vipi.Kuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile vile.
Huko nyuma pia niliwahi kubahatika katika Kushughulikiwa Mwili ( Maiti ) iliyokuwa ikiandaliwa ( treated ) tayari kusafirishwa kwenda nchi fulani na kiukweli Mortuary Attendant wa Tanzania ( katika Hospitali husika ) waliuandaa Mwili vizuri kabisa, Kiutaalam, Kiupendo na Kiutu kabisa na naamini hata Walioupokea huko ulikoenda walishukuru na kuridhika nao.
Mwili ( Maiti ) niliyoipokea leo kutoka nchini India ( nilikoamini kuwa kuna Watu makini na Weledi ) baada ya kufika na kuikagua tayari kwa Kuiandaa kwa Kuagwa Kesho imenifanya niamini kuwa kumbe Waafrika ( hasa Watanzania ) ambao ni Mortuary Attendant wana Utu, Hekima na Ustaarabu sana katika Kuandaa Miili ya Marehemu Wetu lakini imenifanya nianze Kuwachukia Wahindi na kuamini kuwa kumbe ni Watu wenye Roho Mbaya na hawana Ubinadamu.
Ushauri wangu ( na silazimishi ) kama utakuwa na Ndugu yako nje ya nchi hasa nchini India kama mkiona dalili za Kupona hazipo tafadhali upesi sana mrudisheni tu Tanzania aje afie huku ili apate treatment nzuti ya Mortuary Attendant wa Kitanzania ila mkiacha wafie nje ( hasa huko India ) wakija huku katika Jeneza ( ambalo hugeuka kuwa Cargo ) tegemeeni kukutana na Makwazo na Uchungu mkubwa pale mkiupokea.
R.I.P Marehemu wote nchini Tanzania.
Poa. If you choose to keep your sophistication mkuu!😅With circumstances..YES..!
Hapana sio vizuri pesa ya maiti ina laana nyingiNahisi Uli piga pesa mingi sana kipindi una fanya kazi mortuary
Hapana hizi ni fani mbili tofauti kabisaNdiyo maana ukawa mchawi
Hahaha.. Not everything should be spoken in the publicPoa. If you choose to keep your sophistication mkuu![emoji28]
Hahaha.. Nimeacha pombe LakiniMkuu umefanya KAZI hii?du umetoka m Ali sana unastaili Kila siku ulale umelewa