Hongereni 'Mortuary Attendant' wa Tanzania, ila usiombe Nduguyo afie India halafu uje uipokee Maiti yake waliyoiandaa Wao huko

Aisee hapo kuna vitu vitakuwa vimetolewa bilashaka
 
Kazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
[emoji1787] mtani bana.

Niliwahi sikia miaka mingi iliyopita kuwa mtu akifia India huo mwili unateswa sana yaani unakunjwa and sometimes mifupa wanaivunja ili uingia kwenye kibox cha mizigo.

Niliwahi pokea mwili wa mtu mmoja maarufu miaka hiyo mkoa fulani alifia India. Walipoupokea mwili airport moja kwa moja kuelekea mkoani,

Niliogopa nilipoona kile kisanduku, kuuliza nikaambiwa its economic.

Kweli mwenye mgonjwa ukiona hali inazidi kuwa mbaya ni vema umrejeshe tu nyumbani.
 
Hueleweki ulichoandika usemi wameandaa vip
 
Wahindi huwa wanachoma moto marehemu hivyo inawezekana wana uzoefu mdogo sana kwenye uhifadhi wa miili ya binadamu haswa ikiwa ninkwa madhumuni ya kusafirisha.

Japo suala la ubaguzi linaweza kuhusika pia.
Inawezekana duniani waafrika wanaongoza kulalamika kuhusu ubaguzi, Tunatakiwa kujitafakari sana, kwa nini sisi ni walalamishi kwenye almost mambo yote duniani kasoro kwenye ngono tuu.
 
Sasa kama mnahisi wahindi wanawadharau, nyinyi mnashindwa nini kuwadharau na wao ?

Mnawaogopa?
Wamewazidi uwezo?
Mmekatazwa ?
 
Na sidhani kama ameandaliwa vibaya bali kuna baadhi ya viungo vimemis, hii hutokea hasa viungo kama moyo na huwa wanatoa kwaajili ya kujifunzia. Dada yangu alifariki KCMC walipita na moyo kwaajili ya kujifunzia.

Ok mkuu.. ajafunua andiko uzuri.. sasa napata mwanga kiongozi.. nimeona tena
 

Poleni sana ila umeweka maelezo mengi alaf hayana content kabsa….
 
Wahindi wako dini tofauti tofauti,wapo wahindi Baniani(wanachoma moto maiti),Wapo wahindi waislamu(wanazika maiti,bila jeneza),wapo wahindi wakristo(wanazika na jeneza),Wapo wahindi,Budha,wapo wahindi(dini ndogo ndogo,nyingine nyingi tu).Wapo wahindi ,hawana dini kabisa(wanazikana vyovyote alivyoacha wosia,maiti au ndugu zake waamuwe wamzike vipi.
Sasa huyo maiti wako,ungejuwa aliandaliwa na wapi katika makundi hayo,na huyo ndugu yako ni wa dini gani.Kwa maana kama ni mkristo,hao ndugu waliokuwa hospital wangewasiliana na viongozi wa kanisa husika,na kama ni Muislamu ,pia wangewasiliana na viongozi wa msikiti.Wakapewa msaadawa kusaidia kuandaliwa,,mnavyotaka.
Wakulaumiwa,ni hao waliofuatana na huyo marehemu,huko India.
Wapo waislamu wengi,walipelekwa wagonjwa India,ndugu zao,wakaamuwa wazikwe India,na wamezikwa huko India,kwa taratibu zote za kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…