Pole sana mtani, Mwakani hutapanda ndege hahahahah.Mmh. Kwa hiyo na sie leo tukidoda kesho Singida nao sifa itawahusu. Lol
Haya bwana. Hongera kwa Ntibwa.
Hahahaaa. Wacha tu Mtani ila ndio mpira ule.Pole sana mtani, Mwakani hutapanda ndege hahahahah.
Hahahahah! Leo mlishikwa tu na vijana wa Hans hakuna namna mpambane na Mnyama sasa kutafuta huruma ya VPL.Hahahaaa. Wacha tu Mtani ila ndio mpira ule.
Na siku zote penalti huwa hazina mwenyewe lakini mtani ujue.
Hahaaa. Sawa mtani.Hahahahah! Leo mlishikwa tu na vijana wa Hans hakuna namna mpambane na Mnyama sasa kutafuta huruma ya VPL.
Japo ujipange haswa mnyama ashachanja mbuga.Hahaaa. Sawa mtani.
Ndio kilichobakia tu sasa macho na masikio yote VPL. Teh
Hahahaaa. Tutapambana huko huko mtani.Japo ujipange haswa mnyama ashachanja mbuga.
Pole sana...lakini mmejitahidi kweikwei.Hahahaaa. Wacha tu Mtani ila ndio mpira ule.
Na siku zote penalti huwa hazina mwenyewe lakini mtani ujue.
Mtatuongezea ugumu VPL...hasa mipango yenu ya ujanja ujanja ile.Hahaaa. Sawa mtani.
Ndio kilichobakia tu sasa macho na masikio yote VPL. Teh
Wataona manyoa tu kuanzia kule walikoahidi milioni 20.Japo ujipange haswa mnyama ashachanja mbuga.
Karibuni.Hahahaaa. Tutapambana huko huko mtani.
Kwani kwenye VPL waliifunga?Waliichukulia Mtibwa kimazoea.
Umepata matokeoAmini hivyo mtani singida sasa hivi hawaeleweki kabisa....
So na uhakika mtawafunga si chini ya goli 3.....
Naona yeboyebo hapo kupanda ndege mpaka 2019 maana ligi kuu ni ya simbaUmepata matokeo
kweli mkuu azam foward zao utoto umewatawala dogo km zaidy akiegemewa kdogo tu anatoka kwenye reli....azam wanahitaji watu wa kazi pale mbele hawa madogo wanahitaji kupewa muda kdogo ili wakomaeSasa hapo Mtibwa hatuwezi kuwalaumu kwa kuwa wametumia resource zao ambazo kabla hawajazifaidi,tayari Simba na Yanga zinaenda kufaidika nazo.Hivyo, wanaendelea tena kutengeneza timu.
Wakati Azam wanatumia ready made players wengi ili kuipa timu yao hadhi.Sasa hivi ndo wameanza kuvuna matunda yao ambayo kimsingi hayawezi kupambania ubingwa tena kwa kuwa wamekosa watu pale mbele.Bado kuna utoto utoto.
Hahaaa. Umeonaeeee. Huo ndio ukweli halisi.Pole sana...lakini mmejitahidi kweikwei.
Ninachokiamini,ndicho ulichokisema.Penalti hazina mwenyewe.
Hahahaaaaaa. Lol.Naona yeboyebo hapo kupanda ndege mpaka 2019 maana ligi kuu ni ya simba
Ahsante kwa kuliona hilo.kweli mkuu azam foward zao utoto umewatawala dogo km zaidy akiegemewa kdogo tu anatoka kwenye reli....azam wanahitaji watu wa kazi pale mbele hawa madogo wanahitaji kupewa muda kdogo ili wakomae
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahaaa. Umeonaeeee. Huo ndio ukweli halisi.
Ligi mbichi...ngoja turudi viwanjani.Hahahaaaaaa. Lol.
Mtani umeshasahau tayari . Mmmhh
Daah mtani mmeniangusha sana [emoji2] [emoji2]Hahahaaaaaa. Lol.
Mtani umeshasahau tayari . Mmmhh