Hongereni Mtibwa

Hongereni Mtibwa

Hahahaaa. Wacha tu Mtani ila ndio mpira ule.

Na siku zote penalti huwa hazina mwenyewe lakini mtani ujue.
Pole sana...lakini mmejitahidi kweikwei.
Ninachokiamini,ndicho ulichokisema.Penalti hazina mwenyewe.
 
Hahaaa. Sawa mtani.

Ndio kilichobakia tu sasa macho na masikio yote VPL. Teh
Mtatuongezea ugumu VPL...hasa mipango yenu ya ujanja ujanja ile.
Teh teh teh teh teh teh teh.
 
Sasa hapo Mtibwa hatuwezi kuwalaumu kwa kuwa wametumia resource zao ambazo kabla hawajazifaidi,tayari Simba na Yanga zinaenda kufaidika nazo.Hivyo, wanaendelea tena kutengeneza timu.
Wakati Azam wanatumia ready made players wengi ili kuipa timu yao hadhi.Sasa hivi ndo wameanza kuvuna matunda yao ambayo kimsingi hayawezi kupambania ubingwa tena kwa kuwa wamekosa watu pale mbele.Bado kuna utoto utoto.
kweli mkuu azam foward zao utoto umewatawala dogo km zaidy akiegemewa kdogo tu anatoka kwenye reli....azam wanahitaji watu wa kazi pale mbele hawa madogo wanahitaji kupewa muda kdogo ili wakomae
 
kweli mkuu azam foward zao utoto umewatawala dogo km zaidy akiegemewa kdogo tu anatoka kwenye reli....azam wanahitaji watu wa kazi pale mbele hawa madogo wanahitaji kupewa muda kdogo ili wakomae
Ahsante kwa kuliona hilo.
 
Back
Top Bottom