Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahhaaa. Si kwa kutonesha kidonda changu Mtani wakati kimeshapona.Daah mtani mmeniangusha sana [emoji2] [emoji2]
Ndio hivyo mtani siku zote penalti kwetu limekuwa gonjwa sugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaaa. Si kwa kutonesha kidonda changu Mtani wakati kimeshapona.Daah mtani mmeniangusha sana [emoji2] [emoji2]
Mjipange tu, hakuna namna.Hahhaaa. Si kwa kutonesha kidonda changu Mtani wakati kimeshapona.
Ndio hivyo mtani siku zote penalti kwetu limekuwa gonjwa sugu.
Hoooooooo...!Daah mtani mmeniangusha sana [emoji2] [emoji2]
Mmerudi kwenye nafasi yenu.Hahaaa. Umeonaeeee. Huo ndio ukweli halisi.
Anakutania tu.Hahahaaaaaa. Lol.
Mtani umeshasahau tayari . Mmmhh
Ha ha ha ha...umeua mkuu.Naona yeboyebo hapo kupanda ndege mpaka 2019 maana ligi kuu ni ya simba