Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa.Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika Mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka Sasa.
Azam Mediaππ»
ππ»Ahmedy Ally from Azam to Simba.
ππ»Ally Mayay from Azam to wizarani.
ππ»Charles Hillary from Azam to Ikulu-Zanzibar.
ππ»Ally Kamwe from Azam to Yanga .
ππ»Fatma Nyangasa from Azam to Kigamboni (Mkuu wa Wilaya)
Hakika mmetisha na mnazidi kutisha.