Hongereni sana Azam tunawasubiri Fainali. Simba hamna kitu ni maneno tu.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kwanza naomba niwape pongezi wachezaji wa Azam kwa ushindi ambao wameupata leo kwa kuiondoa Simba. Simba ni level za Biashara ndo ataenda cheza nao.

Sisi Wakubwa tunakutana FAINAL YA AZAM F.CUP.

Match ilikuwa nzuri lakini Ubora wa Azam umeamua matokeo ya match hii. Simba match ya Tarehe 3/07 hii hamwezi ikwepa. Tutawapiga kama ambavyo leo mmepigwa na Azam.
 
Nyinyi Yanga ni pisi yetu tu amuwezi kusumbua mnyama Simba.
Cha asubuhi kitawahusu.
 
Na nyie mjiandae tu kupanua miguu, Azam wamebana wee hatimaye wamepanua miguu.
 
Sawa!!!
 
Mimi yanga kwa hi Simba sipeleki timu nachochora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…