Hongereni sana Clouds Media Group (CMG) kwa Kumrudisha Mburudishaji na Mchangamshaji katika Radio na Television Mbwiga Mbwiguke

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu.

Ni Wiki ya Tatu sasa namsikiliza Mtangazaji Mburudishaji na Mchangamshaji Mbwiga Mbwiguke akiwa Clouds FM hasa katika Vipindi vyao vya Michezo hali ambayo imeirejesha juu (Kiusikilizaji) kutokana na Vituko vyake vya Maneno yake Kiutani kiasi cha Kukufanya muda Wote wa Kipindi uwe glued katika Redio na Runinga.

Karibu tena Redioni Mbwiga Mbwiguke na Asanteni Clouds Media Group (CMG) hasa Boss wake aliyemuibua awali Shaffih Dauda kwa kuamua kupambana ili arejee tena (japo Umri wake umeshaenda), ila kilichoangaliwa Kwake ni Kipaji chake na Mvuto kwa Wasikilizaji pamoja na kwamba hajasoma kama wengineo.
 
Huyo mzee Hana elimu halafu mshamba Sana alikuwa anatingoza mali za watu.
Amerud sababu Sasa hiv clouds ni yamchongo .

Walimtimua Kama mbwa akawa anaranda mitaani kijasho Cha shingo kikimtoka mzee yule msela wa zaman
 
[emoji1787]
 
Asante kwa kutuonyesha kwa Vitendo jinsi gani ulivyo na Roho Mbaya, Chuki, Unafiki na Uswahili uliopitiliza.

Jitahidi ukatubu ama Kanisani au Msikitini kwa Upumbavu wako huu utokao Ubongoni mwako uliotuandikia hapa.
 
angalia huyu mvuta bange..mbwiga born town kitambo hujazaliwa na kujipa majina ya vyeo usivyokua navyo...mwenzio anakwambia amesoma darasa moja na kusaga ah ah ah Tusipende sana kufanana kila kitu kama kakuchukulia mkeo ujue matunzo 0
 
Asante kwa kutuonyesha kwa Vitendo jinsi gani ulivyo na Roho Mbaya, Chuki, Unafiki na Uswahili uliopitiliza.

Jitahidi ukatubu ama Kanisani au Msikitini kwa Upumbavu wako huu utokao Ubongoni mwako uliotuandikia hapa.
Kwa hiyo mtu akiwaza tofauti na wewe ni ana roho mbaya?
Vioi kama anamjua Mbwiga nje ndani?
 
mtoto wa kiume kumfuatilia hivyo mwanaume mwenzio either we mchawi au anakupumulia
 
Basi sawa yaishe, uliyoyasema kwani mnaugomvi na bwiga.
 
Huyo mzee Hana elimu halafu mshamba Sana alikuwa anatingoza mali za watu.
Amerud sababu Sasa hiv clouds ni yamchongo .

Walimtimua Kama mbwa akawa anaranda mitaani kijasho Cha shingo kikimtoka mzee yule msela wa zaman
Baada ya kuondoka clouds alienda times fm
 
We jamaa bwana!!
Sasa km ana mapungufu yote hayo kwanini clouds wamemrudisha? Kwamba wao hawaoni ila wewe ndio unaona?
 
Hizi ni Hasira zako baada ya Yeye Kukukazia?
 
We jamaa bwana!!
Sasa km ana mapungufu yote hayo kwanini clouds wamemrudisha? Kwamba wao hawaoni ila wewe ndio unaona?
Chief achana na huyo Punguwani Waziri wa madini ambaye tayari nimeshamjua ( ila simtaji Jina hapa ) ila nae alikuwepo Clouds FM na Tv akitangaza Habari za Michezo.

Ametemwa na ameumia kwa aliyemzidi Elimu Mbwiga Mbwiguke kurejeshwa CMG huku Yeye Waziri wa madini mwenye Elimu yake ya Diploma ya Journalism pale DSJ akiwa ametoswa mazima.
 
Clouds siku hizi wamepooza sana,kama hawana morali vile ya kazi
 
Samahani Mkuu: "mzee wa misumari" umeaniacha mkuu, ufafanuzi wa hili neno please🙏
 
Mbwiga baada ya kufariki Ruge mishahaa ikawa haieleweki na kutoka kwa wakati ndio maana watangazaji wao wengi wakaondoka.

Mbwiga hakufukuzwa Clouds FM Bali aliondoka na kupewa kazi Times FM kwa mshahara na marupurupu mazuri, lakini Clouds wamempa mkataba mzuri zaidi ya Times ndo maana karudi Tena.
 
Jamaa akipunguza ulevi wa pombe ataendelea kufanya vizuri, maana moja ya sababu ya kutemwa na clouds na baadae times fm ilikuwa ni kuchelewa kuandaa vipindi sababu ya ulevi uliopitiliza
 
Asante kwa kutuonyesha kwa Vitendo jinsi gani ulivyo na Roho Mbaya, Chuki, Unafiki na Uswahili uliopitiliza.

Jitahidi ukatubu ama Kanisani au Msikitini kwa Upumbavu wako huu utokao Ubongoni mwako uliotuandikia hapa.
[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Times FM alikuwa anafanya nini? Maana alivotoka CMG si alienda Times au hujui??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…