Hongereni sana Clouds Media Group (CMG) kwa Kumrudisha Mburudishaji na Mchangamshaji katika Radio na Television Mbwiga Mbwiguke

Hongereni sana Clouds Media Group (CMG) kwa Kumrudisha Mburudishaji na Mchangamshaji katika Radio na Television Mbwiga Mbwiguke

Nimesimiliza jana wakati wa Sports Xtra, naona kama sauti yake imezidi kukauka...

Sijui anasumbuliwa na maradhi au uzee umezidi kumuingia bwana Mwiguke mkola wa nyani, kibwaya mkia...kichwa cha nyoka hakibebi mzigo 😂
 
Samahani Mkuu: "mzee wa misumari" umeaniacha mkuu, ufafanuzi wa hili neno please🙏
Misumari no Kush a.k.a Weed a.ka
.a Nyasi vidole vitano mjani au bhange.
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Nimesimiliza jana wakati wa Sports Xtra, naona kama sauti yake imezidi kukauka...

Sijui anasumbuliwa na maradhi au uzee umezidi kumuingia bwana Mwiguke mkola wa nyani, kibwaya mkia...kichwa cha nyoka hakibebi mzigo [emoji23]
nimecheka kwamba anagroup O ladamu
 
Nimesimiliza jana wakati wa Sports Xtra, naona kama sauti yake imezidi kukauka...

Sijui anasumbuliwa na maradhi au uzee umezidi kumuingia bwana Mwiguke mkola wa nyani, kibwaya mkia...kichwa cha nyoka hakibebi mzigo [emoji23]
Itakua ni pombe maana yule ukimuona tu unajua anapiga tungi
 
Huyo mzee Hana elimu halafu mshamba Sana alikuwa anatingoza mali za watu.
Amerud sababu Sasa hiv clouds ni yamchongo .

Walimtimua Kama mbwa akawa anaranda mitaani kijasho Cha shingo kikimtoka mzee yule msela wa zaman
Kipaji kinampa mtu maisha wakati wengine na elimu zao wanahangaika kuomba ajira kila kukicha. Heshimu kipaji chake kwani ndio maisha yake.
 
Back
Top Bottom