Kuroga, au mshirikinaSamahani Mkuu: "mzee wa misumari" umeaniacha mkuu, ufafanuzi wa hili neno please[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuroga, au mshirikinaSamahani Mkuu: "mzee wa misumari" umeaniacha mkuu, ufafanuzi wa hili neno please[emoji120]
Misumari no Kush a.k.a Weed a.kaSamahani Mkuu: "mzee wa misumari" umeaniacha mkuu, ufafanuzi wa hili neno please🙏
Mtu wa misumari ni mtu anayeroga wenzake wasitoboe chiefMisumari no Kush a.k.a Weed a.ka
.a Nyasi vidole vitano mjani au bhange.
nimecheka kwamba anagroup O ladamuNimesimiliza jana wakati wa Sports Xtra, naona kama sauti yake imezidi kukauka...
Sijui anasumbuliwa na maradhi au uzee umezidi kumuingia bwana Mwiguke mkola wa nyani, kibwaya mkia...kichwa cha nyoka hakibebi mzigo [emoji23]
Haha haaa...Mtu wa misumari ni mtu anayeroga wenzake wasitoboe chief
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Itakua ni pombe maana yule ukimuona tu unajua anapiga tungiNimesimiliza jana wakati wa Sports Xtra, naona kama sauti yake imezidi kukauka...
Sijui anasumbuliwa na maradhi au uzee umezidi kumuingia bwana Mwiguke mkola wa nyani, kibwaya mkia...kichwa cha nyoka hakibebi mzigo [emoji23]
Kipaji kinampa mtu maisha wakati wengine na elimu zao wanahangaika kuomba ajira kila kukicha. Heshimu kipaji chake kwani ndio maisha yake.Huyo mzee Hana elimu halafu mshamba Sana alikuwa anatingoza mali za watu.
Amerud sababu Sasa hiv clouds ni yamchongo .
Walimtimua Kama mbwa akawa anaranda mitaani kijasho Cha shingo kikimtoka mzee yule msela wa zaman