hata Prince Charles alioa mke wa mtu ambaye ndie anaishi nae hadi leo na malkia kakubali...alimuacha mkewe marehemu Diana aliyemkuta bikira na kumzalia watoto wawili. ila mapenzi yakawa kuleeee kwingine
harusi haina ata washiriki ?.....mwmbers wako wapi? hmm movie Acha iendelee
Sasa diamond akioa ndo tunanufaikaje hadi tuanze kumjadili?
Ivi ndoa ya diamond ina effects za moja kwa moja kwa jamii?
Waliosema zari mimba imeanguka haya sasa keshaonesha tumbo lakeee
"sometimes privacy has more blessings"
ndoa ishafungwa kazi ya kujua ni ndoa ya aina gani nakuachia wewe