Hongereni sana, Diamond and Zari

Hongereni sana, Diamond and Zari

hata Prince Charles alioa mke wa mtu ambaye ndie anaishi nae hadi leo na malkia kakubali...alimuacha mkewe marehemu Diana aliyemkuta bikira na kumzalia watoto wawili. ila mapenzi yakawa kuleeee kwingine

Sasa inaonyesha wazi unakubali kabisa kwenye hii ndoa, Diamond amepatikana...
 
Habari ndo iyo harusi kimya kimya

Diamond anakwambia sometimes usiri unabaraka sana ALHAMDULILLAH


Cheki picha hapo chini 👇👇👇👇👇
 

Attachments

  • 1428229983637.jpg
    1428229983637.jpg
    49.9 KB · Views: 1,963
Picha nyingine hii apa
 

Attachments

  • 1428230052047.jpg
    1428230052047.jpg
    57.2 KB · Views: 1,706
harusi haina ata washiriki ?.....mwmbers wako wapi? hmm movie Acha iendelee
 
Sasa diamond akioa ndo tunanufaikaje hadi tuanze kumjadili?
Ivi ndoa ya diamond ina effects za moja kwa moja kwa jamii?
 
Shosti umepitwa mjini....

Hii haikuwa harusi...

Bahati mbaya kiki aloitafuta domo hakuipata maana habare ya mjini ilikuwa ndoa ya mengi na klyn
 
Waliosema zari mimba imeanguka haya sasa keshaonesha tumbo lakeee

Najua saa izi wanaona aibu pia wanatunga story mpya! Na bado watalazwa mirembe mwaka huu.Huyo dougie mchawi hana jipya na kiswahili chake cha kishamba, kiinglish majanga pia.Hajui haya wala herufi kubwa.Mfyuu zake, ananikera nimemua unfollow coz ananiboa kinyama.Wivu tu, yani anapigana vita sio yake.
 
Back
Top Bottom