Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #141
ha ha ha nmejikuta nacheka tuKama uko south america usi comment mambo ya bongo maana it seems you dont have much information. Diamond africa anakubalika sana. kina P Square sasa hivi wajipange upya, diamond akiendelea na speed hii nina imani atawafikia kama sio kuwapita.