Hongereni sana, Diamond and Zari

Hongereni sana, Diamond and Zari

Kama uko south america usi comment mambo ya bongo maana it seems you dont have much information. Diamond africa anakubalika sana. kina P Square sasa hivi wajipange upya, diamond akiendelea na speed hii nina imani atawafikia kama sio kuwapita.
ha ha ha nmejikuta nacheka tu
 
​Kupata tuzo na kujulikana ni vitu viwili tofauti...mie sio shabiki wa ubongo flava wewe dogo...mie mtu wa vitu vizito vikubwa , ubongo flava huko huko kwenu kwenye vumbi.
sasa kama bongo fleva ni huku huko uliko KAMACHUMU bongo fleva inahusu nini....ukija uniletee MATOKE na SENENE
 
attachment.php


"sometimes privacy has more blessings"
Kiko wapi
 
Back
Top Bottom