Hongereni sana wanakwaya

Hongereni sana wanakwaya

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Ee bwana unifadhili-by Aloyce Goden

Huu wimbo una fikirisha na kunibariki sana.

Hongereni sana wanakwaya wote mliohusika katika wimbo huu.

Kweli mliutendea haki, Mungu awabariki sana ni wimbo wenye kuishi muda mrefu.

Licha ya kuwa siwajui lakini kazi zenu zinaniweka katika uchaji/mstari na kuishi katika imani yetu.
 
Back
Top Bottom