Kubali tu mkuu acha kubishia moyo wako [emoji23]Moyo unataka akili inagoma..
Hahahahaha moyo muda mwingine unadanganyaKubali tu mkuu acha kubishia moyo wako [emoji23]
Ni kweli moyo unadanganya lakini Kuna vitu viko wazi mno, kwanini uupe moyo wako shida KalpanaHahahahaha moyo muda mwingine unadanganya
Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto..Moyo unataka akili inagoma..
Kwa nn huitakii mema wewe pisi ya jf?Moyo unataka akili inagoma..
Vocha yangu kwako ipo palepale😃😃Moyo unataka akili inagoma..
Ili Maneno yako yatimie kama mechi inaanzia kwa Mkapa Yanga imalize mechi kwa Mkapa.Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS.
Wale watajifanya kujabna falsafa zao. Huku wanapigwa kimoko na kwao wanaenda kutoa sareHao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS.