Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
mafanikio haya ni faida kwa simba na kiwango cha mpira Tz. Ule woga wa kufika fainali kwa timu zetu umetoweka.Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto..
Nawaona msimbazi, wakijipanga kufanya vizuri mwakani. Ndio kiwango cha mpira kinavyoongezeka