Hongereni sana Watani

Hongereni sana Watani

Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto..
mafanikio haya ni faida kwa simba na kiwango cha mpira Tz. Ule woga wa kufika fainali kwa timu zetu umetoweka.
Nawaona msimbazi, wakijipanga kufanya vizuri mwakani. Ndio kiwango cha mpira kinavyoongezeka
 
Kuhusu kunyanyua kombe la shirikisho wasahau.

Walikuwa wanakutana na timu zilizojichokea na vitimu vya ovyoovyo mpaka walipofika hapo

Sioni sababu ya kuwapa pongezi labda ingekuwa wamebaki klabu bingwa mpaka sasa hivi
 
Hata sisi tusikalie kununa t simba tutengeneze timu tuache mambo ya kizamani kununia mafanikio ya wengne
 
1684386198082.png
 
Back
Top Bottom