Hongereni sana Watani

Hongereni sana Watani

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Wananchi mmekuwa na msimu bora kabisa, naiona treble msimu huu yaani NBC,FA,na CAFCC.

Kazi nzuri sana,hongera sana kwa nabi,na rais ..
Screenshot_20230517-205904_Instagram.jpg
 
Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS.
Ili Maneno yako yatimie kama mechi inaanzia kwa Mkapa Yanga imalize mechi kwa Mkapa.

Na nawaomba wana yanga wote timu inahitaji support ya full house tickets zianze kuuzwa sasa.
 
Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS.
Wale watajifanya kujabna falsafa zao. Huku wanapigwa kimoko na kwao wanaenda kutoa sare
 
Huu ndio uungwana sasa. Tunashukuru sana na mtuombee tumtapishe tende na halua muarabu hiyo tar 28 pale Mkapa Stadium
 
Back
Top Bottom