Hongereni serikali kwa kuinyoosha CWT

Kwanza mimi siyo mwalimu na siwezi kuwa mwalimu.

Huyo mzee wako alipunjwa nini? kwahiyo hoja yako hukipendi chama kwa sababu kilimpunja mzee wako au kwa sababu hakitetei maslahi ya walimu ?
 
Unafikiri vyama vya wafanyakazi vinaundwa kiholela tu kama vikundi vya kufa na kuzikana ?
 
Kwanza mimi siyo mwalimu na siwezi kuwa mwalimu.

Huyo mzee wako alipunjwa nini? kwahiyo hoja yako hukipendi chama kwa sababu kilimpunja mzee wako au kwa sababu hakitetei maslahi ya walimu ?
nazan umenielewa
 
Kwahiyo hicho chama kingine kitakua hakikati hela za walimu?

Maana sheria inasema mtumishi lazima awe kwenye union
 
Bora kujipigania Kila Mtu na lake kuliko hawa Wahuni waliotekwa na serikali.
 
Hili likifanyika serikali itaheshimika sana
Serikali imeshaona hatari ya chama cha walimu kujanjaruka huko mbele kwa sababu viongozi wake wengi ni projection za utawala......

Hatari yake ni kuwa, walimu wakijanjaruka ndo mwisho wa CCM hivyo hii move ya bandia ya kuwatetea waalimu dhidi ya viongozi mamluki wa CWT ni mkakati wa kuwakoroga walimu wasione msingi wa kutetea maslahi bora zaidi ya makato yao ya 2%

Shtuka
 
Bora kujipigania Kila Mtu na lake kuliko hawa Wahuni waliotekwa na serikali.
Wewe utaweza kupigania maslahi yako alone dhidi ya serikali ?

Mnashindwa kupigania maslahi yenu kwa mhindi tu kwa serikali mtaweza ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…