Hongereni serikali kwa kuinyoosha CWT

Hongereni serikali kwa kuinyoosha CWT

eiza wewe ni mfanyakaz wa hiko chama au.....so mi naona viundwe vyama vingine na watu wa chague wenyewe ili kuleta ushindani hiki chama sitokisahau kilipo mpunja mzee wangu badala apate m150 wakampa 70 amefuatilia saiz mwaka wa 9 na hakuna kinacho endelea kama
Kwanza mimi siyo mwalimu na siwezi kuwa mwalimu.

Huyo mzee wako alipunjwa nini? kwahiyo hoja yako hukipendi chama kwa sababu kilimpunja mzee wako au kwa sababu hakitetei maslahi ya walimu ?
 
Unafikiri vyama vya wafanyakazi vinaundwa kiholela tu kama vikundi vya kufa na kuzikana ?
 
Kwanza mimi siyo mwalimu na siwezi kuwa mwalimu.

Huyo mzee wako alipunjwa nini? kwahiyo hoja yako hukipendi chama kwa sababu kilimpunja mzee wako au kwa sababu hakitetei maslahi ya walimu ?
nazan umenielewa
 
Kwahiyo hicho chama kingine kitakua hakikati hela za walimu?

Maana sheria inasema mtumishi lazima awe kwenye union
 
Wanatakiwa kukisimamia kibadilike lakini siyo kushangilia kikishughulikiwa na serikali.

Workers union zikidhoofishwa na serikali wafanyakazi wanakuwa watumwa, na hakuna wa kuwatetea.
Mbona kipindi cha kina Mkoba kilikuwa active kupigania maslahi ya walimu kuliko union zote nchini ?
Bora kujipigania Kila Mtu na lake kuliko hawa Wahuni waliotekwa na serikali.
 
Hili likifanyika serikali itaheshimika sana
Serikali imeshaona hatari ya chama cha walimu kujanjaruka huko mbele kwa sababu viongozi wake wengi ni projection za utawala......

Hatari yake ni kuwa, walimu wakijanjaruka ndo mwisho wa CCM hivyo hii move ya bandia ya kuwatetea waalimu dhidi ya viongozi mamluki wa CWT ni mkakati wa kuwakoroga walimu wasione msingi wa kutetea maslahi bora zaidi ya makato yao ya 2%

Shtuka
 
Bora kujipigania Kila Mtu na lake kuliko hawa Wahuni waliotekwa na serikali.
Wewe utaweza kupigania maslahi yako alone dhidi ya serikali ?

Mnashindwa kupigania maslahi yenu kwa mhindi tu kwa serikali mtaweza ?
 
Back
Top Bottom