Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwanza mimi siyo mwalimu na siwezi kuwa mwalimu.eiza wewe ni mfanyakaz wa hiko chama au.....so mi naona viundwe vyama vingine na watu wa chague wenyewe ili kuleta ushindani hiki chama sitokisahau kilipo mpunja mzee wangu badala apate m150 wakampa 70 amefuatilia saiz mwaka wa 9 na hakuna kinacho endelea kama
Huyo mzee wako alipunjwa nini? kwahiyo hoja yako hukipendi chama kwa sababu kilimpunja mzee wako au kwa sababu hakitetei maslahi ya walimu ?