changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kilichowapata leo Horoya kimewastaili kuwapata. Hawakuiheshimu Simba hata kidogo kwanzia kiakili na kifikra hadi kimbinu. Rais wao anaongea wazi wazi dharau, hata kama ilikuwa ni jambo lenye ukweli lakini mpaka hapo kaingiza fikra za kuidharau Simba. Hili lililowakuta ni surprise kwao na ndio mshahara wao wa dharau waliokuwa nao.
Hongereni watani.
Hongereni watani.