Hongereni Simba kwa kuonesha kuwa hampendi dharau

Hongereni Simba kwa kuonesha kuwa hampendi dharau

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Kilichowapata leo Horoya kimewastaili kuwapata. Hawakuiheshimu Simba hata kidogo kwanzia kiakili na kifikra hadi kimbinu. Rais wao anaongea wazi wazi dharau, hata kama ilikuwa ni jambo lenye ukweli lakini mpaka hapo kaingiza fikra za kuidharau Simba. Hili lililowakuta ni surprise kwao na ndio mshahara wao wa dharau waliokuwa nao.

Hongereni watani.
 
Hivi timu kuzidiwa kwenye mchezo na timu kudharau mchezo ni kitu kimoja ama vitu viwili tofauti?

Nguvu Moja [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]Mnyama Mkali Mwituni Simba SC
 
Kilichowapata leo Horoya kimewastaili kuwapata. Hawakuiheshimu Simba hata kidogo kwanzia kiakili na kifikra hadi kimbinu. Raisi wao anaongea wazi wazi dharau, hata kama ilikuwa ni jambo lenye ukweli lakini mpaka hapo kaingiza fikra za kuidharau Simba. Hili lililowakuta ni surprise kwao na ndio mshahara wao wa dharau waliokuwa nao.

Hongereni watani
Mtani nimepokea pongezi zako..inshallah nanyie muwe na wepesi kesho

Back
Top Bottom